• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Maswali ya mara kwa mara

Halmashauri ya Wilaya ya Liwale inapatikana wapi?

Halmashauri ipo Makao Makuu ya Wilaya, mjini Liwale, Mkoa wa Lindi, Barabara ya kuekea Nachingwea inatazamana na Nyumba za DDD


Ninawezaje kupata taarifa rasmi za Halmashauri?
  • Kupitia tovuti rasmi ya Halmashauri: www.liwaledc.go.tz
  • Kupitia matangazo ya redio, mitandao ya kijamii na mbao za matangazo.
Majukumu makuu ya Halmashauri ya Wilaya ni yapi?
  • Kusimamia utoaji wa huduma za kijamii (elimu, afya, maji, kilimo, ujenzi n.k.).
  • Kusimamia na kuendeleza miradi ya maendeleo.
  • Kuhakikisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi ya maendeleo.
Nitafanyaje kupata ajira au nafasi za zabuni?

Halmashauri hutangaza nafasi za ajira na zabuni kupitia:

  • Ofisi ya Ajira (TAMISEMI / Sekretarieti ya Ajira).
  • Portal ya Zabuni (PPRA).
  • Tovuti ya Halmashauri
    Nawezaje kupata mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu?

    Kila mwaka Halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya:

    • 4% kwa wanawake
    • 4% kwa vijana
    • 2% kwa watu wenye ulemavu
      Maombi huf
    Kodi na ushuru wa Halmashauri hulipwa wapi?

    Kodi na ushuru hulipwa kupitia:

    • Benki na wakala wa malipo waliopendekezwa.
    • Mfumo wa malipo ya Serikali (GePG).
      Risiti halali hutolewa baada ya malipo.
    Nikipata tatizo au malalamiko, nifanye nini?

    Ili kutoa maoni/ mapendekezo ya uboreshaji wa huduma zinazotolewana Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

    Wananchi/wadau wote ambao wanapokea huduma kutoka Halmashauri yaWilaya ya Liwale wanaweza kutoa maoni/mapendekezo ya kuboresha huduma/kero aum

    Je, Halmashauri inatoa huduma za afya wapi?

    Huduma zinapatikana kwenye:

    • Hospitali ya Wilaya ya Liwale
    • Vituo vya Afya
    • Zahanati zilizopo katika kata na vijiji
    Je, wananchi wanashirikishwaje kwenye maamuzi ya Halmashauri?

    Wananchi hushirikishwa kupitia:

    • Mikutano ya vijiji na kata
    • Kamati za maendeleo za kata (WDCs)
    • Baraza la Madiwani
    • Ushiriki katika ufuatilia
    Taratibu za kupata leseni ya biashara ni zipi?

    Mwenye nia ya kuanzisha biashara anapaswa:

    1. Kuwasilisha maombi kwa Idara ya Biashara ya Halmashauri.
    2. Kupitia taratibu za ukaguzi na uthibitisho wa eneo husika.
    3. Kulipa ada ya les

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 15, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 12, 2025
  • MAKALA YA MAFANIKIO YA HUDUMA ZA JAMII NA MIUNDOMBINU NDANI YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA LIWALE. December 07, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA MSF May 07, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • ZAIDI YA WAGONJWA 360 WAPATIWA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI YA WILAYA YA LIWALE

    September 20, 2025
  • KIBUTUKA SEKONDARI KUTOKA LIWALE BINGWA WA BIOLOJIA KATIKA SHINDANO LA YOUNG SCIENTIST 2025

    September 19, 2025
  • WANAWAKE, VIJANA, WAZEE NA WENYE ULEMAVU KUFAIDIKA NA ASILIMIA 30 YA ZABUNI ZA SERIKALI

    September 09, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YATOA JUMLA YA MKOPO WA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 773,523,370.00 KWA VIKUNDI 201 VYA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

    June 08, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • OR - Tamisemi
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Lindi RS
  • Lindi Manispaa
  • Nachingwea
  • Ruangwa
  • Mtama
  • Kilwa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.