![]() |
|
|
Mh. Mohamed R. Mtesa |
|
|
Diwani Kata ya Liwale B
TAARIFA YA KATA KWA ROBO YA KWANZA JULAI - SEPTEMBA 2017
Diwani wa Kata ya Liwale “B” aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata ya Liwale “B” kipindi cha robo ya kwanza (Julai- Septemba,2017). Katika Kata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya idadi ya watu, taarifa ya mapato na matumizi, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, taarifa ya maendeleo ya elimu sekondari na msingi, hali ya maendeleo ya kilimo, mifugo na uvuvi,hali ya utawala bora , hali ya ulinzi na usalama.
Taarifa ilipokelewa na kupitishwa
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.