Kata ya Liwale Mjini
Diwani wa Kata ya Liwale Mjini aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata ya Liwale Mjini kipindi cha robo ya kwanza (Januari- Septemba,2017). Katika Kata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya idadi ya watu, taarifa ya mapato na matumizi, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo,hali ya utawala, hali ulinzi na usalama na malalamiko jinsi yalivyoshughulikiwa.
Taarifailipokelewa na kupitishwa.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.