• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Maliasili

 MAJUKUMU YA IDARA YA  MALIASILI 

 

  • Kusimamia Sheria ya Wanyamapori Na. 5 ya mwaka 2009 na kutekeleza Sera ya Wanyamapori, kufanya doria katika maeneo yenye wanyamapori na kutunza nyara za serikali kabla ya kuziwasilisha katika ghala la Taifa

  • Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii kwenye wilaya husika na kukusanya maduhuli ya serikali kwa kutoa leseni za uwindaji wa wenyeji (local hunting) kwenye maeneo ya wazi kulingana na quota iliyotolewa

  • Kusimamia uwindaji wa wenyeji na wageni wakaazi na kutunza kumbukumbu na takwimu za wanyamapori, kukusanya taarifa zinazohusu aina, idadi na mienendo ya wanyamapori na kuwasilisha idara ya wanyamapori kwa utaratibu, tathmini pamoja na mambo mengine na kupanga quota.

  • Kulinda wananchi na mali zao dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu na kutoa mafunzo kwa jamii juu ya uhifadhi wa wanyamapori

  • Kuwa kiungo kati ya wananchi na Idara ya Wanyamapori katika shughuli za ushirikishwaji wa wananchi katika uhifadhi

  • Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu uhifadhi wa wanyamapori hasa kwa wananchi waliotenga maeneo ya uhifadhi katika ardhi yao, kulingana na sheria, sera na miongozo itakayotolewa na Idara ya Wanyamapori

  • Kuandaa mipango ya maendeleo kuhusiana na wanyamapori

  • Kusimamia matumizi endelevu ya misitu ndani na nje ya maeneo ya hifadhi

  • Kukusanya maduhuli ya serikali kwa kutoa leseni za matumizi ya misitu

  • Kusimamia Sheria ya Misitu Na. 14 ya mwaka 2002 na kutekeleza Sera ya taifa ya Misitu

  • Kutoa elimu ya sheria ya Ardhi Na. 4 na 5 ya mwaka 1999

  • Kutoa elimu juu ya sera ya ardhi na maendeleo ya makazi na suala zima la upangaji na usimamizi wa miji

  • Kuandaa na kutoa Hati miliki za ardhi na kupima mashamba na viwanja vya makazi

  • Kuandaa na kuwezesha mipango ya matumizi bora ya ardhi ya vijiji, kutafsiri na kupima mipaka ya maeneo ya utawala

  • Kufungua masjala za vijiji za ardhi na kuandaa na kukabidhi vyeti vya vijiji

  • Kusambaza sheria za ardhi, kuandaa mipango ya jumla na mipango ya kina ya mipangomiji na kusimamia ukuaji wa miji

  • Kufanya uthamini wa ardhi na mali za kudumu na kutatua migogoro ya ardhi na kuchora ramani



Matangazo

  • WANAFUNZI WALICHAGULIWA KUANZA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 - LIWALE DC December 19, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE. (FORM ONE JOINING INSTRUCTIONS) December 15, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAKUU NA MAKAMU WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI LIWALE WANEEMEKA NA WARSA YA UONGOZI, UTAWALA NA UENDESHAJI WA SHULE NA TAASISI

    July 27, 2019
  • MKUU WA WILAYA LIWALE AWATUNUKU UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI LIWALE KWA UFAULU WA JUU KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2019 WAKATI WA KIKAO CHA DCC.

    July 18, 2019
  • MKURUGENZI MTENDAJI (W) AFURAHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA KITALU NYUMBA

    July 06, 2019
  • UMISETA LIWALE

    June 25, 2019
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) kidato cha tano 2018 Tanzania Bara
  • Orodha ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano 2018
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) za Vyuo vya Elimu 2018
  • Kufanya UTHIBITISHO kwa waliochaguliwa kujiunga na Vyuo vya Ualimu 2018
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya maji

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • LINDI RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. Box 23 Liwale

    Simu ya Mezani: +255 (0) 737 187 605

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.