Kata ya Mbaya
TAARIFA YA KATA KWA ROBO YA KWANZA JULAI - SEPTEMBA 2017
Diwani wa kata ya Mbaya aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata yaMbaya kipindi cha robo ya kwanza (Julai-Septemba, 2017). Katika Kata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya Idadi ya watu katani, utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hali ya maendeleo ya elimu katika shule za msingi na sekondari, na changamoto zilizojitokeza.
Taarifa ilipokelewa na kupitishwa
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. Box 23 Liwale
Simu ya Mezani: +255 (0) 737 187 605
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.