Kata ya Mihumo
Diwaniwa kata ya Mihumo aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata ya Mihumo kipindi cha robo ya kwanza(Julai-Septemba, 2017). Katika Kata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya Idadi ya watu, maendeleo ya mifugo, taarifa ya mapato na matumizi, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hali ya chakula, taarifa ya maendeleo ya elimu sekondari na msingi, hali ya utawala bora , hali ya ulinzi na usalama, uzalendo na utaifa na changamoto zilizojitokeza
Taarifai lipokelewa na kupitishwa.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.