UJENZI WA OFISI YA JENGO JIPYA LA HALMASHAURI
Halmashauri ya Wilaya ya Liwale katika mwaka wa fedha 2021/2022 ilipokea pesa kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa jengo la ofisi. Ujenzi kwa sasa umeanza na upo katika hatua ya usafishaji wa eneo (site clearance).
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.