Wakuu wa idara (4) na watendaji kata (20) wapatiwa mafunzo ya mabadiliko ya tabia nchi katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri ya wilaya ya Liwale.Mafunzo hayo yalitolewa kwa kwashiriki 29. Mafunzo yalilenga kuongeza uelewa wa masula ya maafa na vile vile waweze kuunganisha suala la maafa katika mipango yao ngazi ya kijiji, kata na idara. Aidha washiriki wamefundishwa uandaaji wa mpango kazi na mbinu za kukabiliana na maafa yatokanayo na mafuriko na ukame ili waweze kupunguza athari za maaafa
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.