Kata ya Ngongowele
|
|
|
Mh. Mohamed K. Manyinja
|
|
|
Diwani Kata ya Ngongowele
|
TAARIFA YA KATA KWA ROBO YA KWANZA JULAI - SEPTEMBA 2017
|
|
|
Diwani wa Kata ya Ngongowele aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kataya Ngongowele kipindi cha robo ya kwanza (Julai - Septemba, 2017).Katika Kata hiyo Baraza lilipokea:- Taarifa ya idadi ya watu, maendeleo ya mifugo, taarifa ya mapato na matumizi, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hali ya chakula, taarifa ya maendeleo ya elimu sekondari na msingi, hali ya utawala bora , haliya ulinzi na usalama, na changamoto zilizojitokeza Taarifa ilipokelewa na kupitishwa |
|
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.