Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kinaandaa, kutekeleza na kutoa msaada kwa watumiaji wa mifumo ya mawasiiano inayosaidia kuendesha shughuli za kila siku za Halmashauri. Lengo kuu kuhakikisha mifumo na vifaa vinavyohusika vinatoa huduma ya uhakika ambayo pia inahakikisha kufikiwa kwa malengo ya Halmashauri.
MAJUKUMU YA KITENGO HABARI, MAWASILIANO NA ICT
Kusimamia shughuli za mawasiliano ya ndani na nje ya halmashauri.
Kusimamia ubora wa vifaa vya teknohama na matumizi salama ya vifaa
Kusimamia mifumo ya mawasiliano, matengenezo na utumiaji kwa kushirikiana na mtaalam wa mifuko ngazi ya mkoa
Kutoa taarifa za ukaguzi wa vifaa vya teknohama na kushauri kufanyika kwa matengenezo
Afisa TEHAMA Simon G. Seja na Afisa Maendeleo ya Jamii Moses Mkoveke wakiwa kwenye Mafunzo ya "Government Website Framework" yanayofanyika Mtwara katika Ukumbi wa Tiffany Diamond
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. Box 23 Liwale
Simu ya Mezani: +255 (0) 737 187 605
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.