TTamasha la Chomoza na Liwale litafanyika katika Uwanja wa Michezo wa Wilaya. Tamasha litanza saa 2:00 Asubuhi na kumalizika saa 12:00 Jioni ni bure kabisa wananchi wote mnakaribishwa kufika bila kukosa. Shime Wananchi kufika kwenye tukio maalumu la kuifungua Wilaya yetu katika uwekezaji
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.