Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Kiserikali lijulikanalo kama Medecins Frontiers/Doctors Without Borders (MSF) wanaoshughulika na utoaji wa Huduma ya Mama na Mtoto, anatangaza kazi za Mkataba za Afya ya Binadamu. Maelezo zaidi soma tangazo kama linavyojieleza.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.