Thursday 18th, April 2024
@
SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA UHURU 2021
Tanzania tunasherehekea maadhimisho ya uhuru tarehe 09 Disemba kila mwaka. Katika siku hii mwaka 1961. Tanzania wakati huo Tanganyika ilipata uhuru kutoka kwa Uingereza.
Siku hiyo ya Disemba 09 kulikuwa na fashifashi, shamra shamra, nderemo, vifijo, vigeregere na furaha katika Wilaya ya Liwale maeneo ya Boma la Zamani. Wananchi kwa ujumla walikusanyika eneo linaloitwa Nchenga. Sherehe rasmi zilifanyika uwanja wa Taifa wakati huo huo kulikuwa na mwenge wa uhuru uliopelekwa kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.
Kwa heshima ya mafanikio haya ya kihistoria, Serikali inafuatlia sekta zake kwa kutaja mafanikio yake, matatizo na changamoto ilizozikabili tangu uhuru na kupanga mwelekeo wa baadaye, mwaka 2021. Tanzania inaadhimisha miaka 60 ya Uhuru kwa Kauli mbiu “TANZANIA YENYE UCHUMI IMARA NA MAENDELEO YA VIWANDA KWA USTAWI WA TAIFA LETU”
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.