Saturday 24th, January 2026
@Liwale Day
Madiwani wateule wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale wakila kiapo cha maadili wakati wa mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani, uliofanyika leo Disemba 4, 2025 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Kutwa Liwale (Liwale Day).
Shughuli hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, watendaji wa halmashauri, na wananchi ikiwa ni hatua muhimu katika kuwawezesha madiwani hao kuanza rasmi majukumu yao ya kuwatumikia wananchi.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.