Kata ya Kichonda
Diwaniwa kata ya Kichonda aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata ya Kichonda kipindi cha robo ya kwanza (Julai- Septemba, 2017). Katika Kata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya idadi ya watu, taarifa ya mapato na matumizi, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya elimu sekondari na msingi, hali ya majanga, hali ya maendeleo ya kilimo, mifugo na uvuvi, uzalendo, utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji, hali ya utawala bora, mafanikio yaliyopatikana, changamoto na hatua zilizochukuliwa kutatua changamoto.
Taarifa ilipokelewa na kupitishwa.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.