Kata ya Lilombe
Diwani wa Kata ya Lilombe aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata ya Lilombe kipindi cha robo ya kwanza (Julai- Septemba, 2017). Katika kata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya idadi ya watu, taarifa ya mapato na matumizi, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo,hali ya kilimo, mifugo na uvuvi, taarifa ya maendeleo ya elimusekondari na msingi, hali ya utawala bora, hali ya ulinzi na usalama, mafanikio na changamoto zilizojitokeza.
Taarifa ilipokelewa na kupitishwa
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.