• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC Mlinga Akutana na Wazee, Vyama vya Siasa na Viongozi wa Dini

Imewekwa:: October 27th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga amekutana na Wazee, Viongozi wa Dini pamoja na Vyama vya Siasa ikiwa ni kuwashukuru kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika nyanja mbalimbali katika kuhakukisha Wilaya ya Liwale inapata maendeleo.

Mheshimiwa Mlinga amewaleza wazee pamoja viongozi wa dini na vyama vya siasa miradi ya Serikali ambayo inatekelezwa hapa Wilaya ya Liwale ikiwemo ujenzi wa barabara Liwale mpaka Masasi kwa kiwango cha lami, ujenzi wa Shule na Madarasa, ujenzi wa vituo vya Afya usambazaji wa Umeme Vijijini   na kuhakikisha pia Liwale inapata maji safi na salama, Mheshimiwa Mlinga amewataka wazee pamoja na viongozi wa dini na vyama vya siasa waendelee kushirikiana na Serikali ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ili wananchi wapate maendeleo.

Aidha Mheshemiwa Mlinga amewakumbusha wazee ,viongozi wa dini na vyama vya siasa kuwa ni muhumu kusimamia  na kuzilinda rasilimali za Wilaya ya Liwale ili ziweze kuwanufaisha watu wa Liwale  na kuleta maendeleo katika Serikali za vijiji vyetu bila usimamizi wa rasilimali hizi kama misitu tubaki kila siku tunalalamika kumbe ni sisi tumeshindwa kusimamia kikamilifu rasilimali zetu , “ kumekuwa na upotevu mkubwa wa mapato katika sekta ya misitu  watu wengi wanavuna bila kufuata utaribu na sheria pia  wengine wanatumia leseni ambazo sio zao katika uvunaji hivyo tumewataka wavunaji wote walipe madeni yao, pia viwanda vyote vinavyo fanya kazi nyakati za usiku nimeviagiza ni marufuku kufanya kazi usiku kwani magogo mengi ambayo ayajakaguliwa ndio yanachakatwa usiku nahili nitaendelea kulifanyia kazi kwa ukaribu zaidi naomba wazee mnipe ushirikiano”.

Kwa upande mwengine Mheshimiwa Mlinga amewakumbusha wazee na viongozi wengine kuhakikisha wana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha wanasimamia kamati za maliasili za vijiji kwani hawa ndio wamekuwa chanzo cha upotevu wa mapato ya tokanayo na misitu kwa kushirikiana na wafanyabiashara wa mbao kwani wamekuwa wakivunja utaratibu ambao umewekwa na kusababisha Serikali kupoteza mapato.

Pia Mheshimiwa Mlinga amewaeleza wazee na viongozi wa dini na vyama vya siasa kuwa Serikali imeendelea kupambana na wanyama waharibifu tembo hivi karibuni kuna mradi ambao umekuja wa GIZ   ikiwa ni ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania pamoja na Serikali ya Ujerumani hii itasaidia kwa vijana wetu wa Wilaya ya Liwale kupewa mafunzo na vifaa ili kupambana na wanyama hawa waharibifu, pia awaeleza juu ya juhudi za Serikali zinazo chukuliwa katika kupambana na mifugo  ikiwemo kuligawanya eneo la Kata ya Kimambi kwa wafugaji kila mfugaji apate eneo lake na kuliendeleza kwa kuchimba visima vya maji pamoja na  kupanda nyasi kwenye eneo atakalo pewa na pia kuna sheria ndogo zimepitishwa katika Halmashauri ili kupambana na mifugo .




Viongozi wa dini pamoja na wazee wa Wilaya ya Liwale wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga 

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO AWAMU YA PILI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 February 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA MSF May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2025
  • MAKALA YA MAFANIKIO YA HUDUMA ZA JAMII NA MIUNDOMBINU NDANI YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA LIWALE. December 07, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YATOA JUMLA YA MKOPO WA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 773,523,370.00 KWA VIKUNDI 201 VYA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

    June 08, 2025
  • HISTORIA IMEANDIKWA, HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAFANYA VIZURI KWA 100% KATIKA MIRADI ILIYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025.

    May 30, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI (BVR KIT) JIMBO LA LIWALE WAPATIWA MAFUNZO

    May 14, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAPOKEA TUZO YA GLASS YA ELIMU KIMKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA MWAKA 2024

    May 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.