• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC Mlinga Avifungia Viawanda Viwili vya Uchakataji wa Magogo

Imewekwa:: October 20th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga   amevifungia viwamda viwili ambavyo  kuendelea na shughuli za uchakataji wa magogo baada ya kubaini kuwepo na uchakataji wa magogo ambayo ayajagongwa na pia kuchakata magogo bila kufuta utaratibu ambao upo hivyo kuisababishia Serikali na Kijiji kukosa mapato hayo yamejiri katika ziara ya Mkuu wa Wilaya katika Kijiji cha Mtawatawa.

 Mheshimiwa Mlinga ameitaka Kamati ya Maliasili ya kijiji cha Mtawatawa kuhakikisha inasimamia vyema rasilimali za misitu ambayo inapatikana kijijini hapo ikiwemo kuwatambua wavunaji ambao wanatambulika na wana leseni halali na zinazo soma majina yao ili kudhibit uvunaji haramu  katika kijiji cha Mtawatawa  na pia aimeitaka Kamati ya maliasili kuhakikisha inafuta sheria ambazo zimewekwa  na pia kuwa waadilifu   ili kuisaidia Serikali pamoja na kijiji na pia kudhibiti uvunaji haramu ambao unafanywa napia kuacha kupokea rushwa kutoka kwa wafanya biashara wa magogo  kwani kufanya hivyo ni kuhalalisha uvunaji haramu  jambo litakalopelekea kupoteza na kufungwa kwa msitu.

Aidha Mheshimiwa Mlinga ameitaka Kamati hiyo kupeleka majina ya wavunaji wote ambao wamepitishwa na kijiji ili awatambue na  kwa sababu kumekuwa na mazoe ya kutumia leseni moja kutumiwa na zaidi ya mvunaji mmoja na pia natoa agizo”  Kila mvunaji atumie leseni yake   ni marufuku kutumia leseni ya mtu mwingine au kampuni ambayo siyo yake  kwenye uvunaji hii imepelekea kuwepo na wizi wa magogo na pia uchanaji wa mbao ambazo sio halali huu unafanywa na watu ambao hawana leseni napia mbaya zaidi  mchana awafanyi kazi usiku ndio wananza kufanya kazi wakijua kuwa wakaguzi awezi kupita mda huo kwenda kuwakagua uhalali wa magogo yao yaliyopo kiwandani”.

Hata hivyo Mheshimiwa Mlinga amepongeza jitihada zinazo fanywa na Shirika la Mpingo kwa kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha litaoa mafunzo kwa vijiji katika wilaya ya Liwale   katiakika kuhifadhi na  kuongeza thamani ya mazo ya misitu kwa kutoa mashine za kisasa za uchakataji wa magogo, mashine za kukaushia mbao hii itasaidia vijiji kufanya biashara ya mbao na sio kuuza magogo kama awali na mapato yataongezeka kwa vijiji na Serikali

Nae mihifadhi misitu wilaya ya Liwale Richard Tarimo ametoa rai kwa wananchi wa kijiji cha Mtawatawa  kuacha kuvuna miti michanga ambayo ijafikia umri wa kuvunwa  kufanya hivyo kutasababisha msitu huo kufungwa na kijiji kitapoteza mapato  na pia amewataka wamiliki wa viwanda vya kuchakata magogo kuhakikisha wanachakata magogo ambayo yamekaguliwa na kugongwa  na kuacha kuchakata magogo  ambayo uvunaji wake ni haramu  na pia doria za kulinda misitu inaendelea na tunabaini watu ambao wanaingiza magogo viwandani nyakati za usiku na ambayo ayajagongwa hivyo tutashughulika nao  kwenda kinyume na utaratibu.


Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga akikagua magogo ambayo yapo katika mashine  za mtawatwa katika ziara yake kijijini hapo.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO AWAMU YA PILI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 February 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA MSF May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI October 09, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HISTORIA IMEANDIKWA, HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAFANYA VIZURI KWA 100% KATIKA MIRADI ILIYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025.

    May 30, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI (BVR KIT) JIMBO LA LIWALE WAPATIWA MAFUNZO

    May 14, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAPOKEA TUZO YA GLASS YA ELIMU KIMKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA MWAKA 2024

    May 02, 2025
  • UFUNGWAJI YA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA.

    November 01, 2024
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.