• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAPOKEA TUZO YA GLASS YA ELIMU KIMKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA MWAKA 2024

Imewekwa:: May 2nd, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Liwale imeshika nafasi  ya kwanza kati ya Halmashauri Sita (06)  za Mkoa wa Lindi  kwa kufaulisha  Wanafunzi waliofanya Mtihani wa kumaliza Elimu ya Sekondari (CSEE) kwa Mwaka 2024 kwa Asilimia 98.67

Jumla ya Wanafunzi 821 kati 832(ME=451 na Ke=381) walofanya Mtihani wa kumaliza Elimu ya Sekondari(CSEE) walipata ufaulu wa Daraja la I hadi IV  na Wanafunzj 11 tu ndiyo waliopata ufaulu wa Daraja la,Sifuri(0).

Halmashauri ya Wilaya ya Liwale imepokea Tuzo ya Glass kwa Kufaulisha Wanafunzi 401 kwa Daraja la I-III  sawa na Asilimia 48.2.

Halmashauri ya Wilaya ya Liwale pia imepokea Tuzo ya Glass kwa kufanya vizuri katika Usimamizi na Ufuatiliaji Miradi ya Elimu

Tuzo hizi zimetolewa na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi katika  Sherehe za utoaji Tuzo za Mkoa zilizofanyika tarehe 2/5/2025 katika Viwanja vya shule ya Msingi Likangara kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya  Ruangwa.

 Sambamba na Tuzo hizo, Halmashauri imefanikiwa kutoa Mkuu wa Shule wa Mfano wa  Kiongozi Bora ambaye ni Mkuu wa Shule ya Sekondari Barikiwa Mwalimu Salumu Kimbendela , ambaye amefanikiwa kupandisha ufaulu kwa miaka mitatu mfululizo 2022 ikipata GPA =3.3537,2023 ikipata GPA=3.2483na 2024 ikipata GPA=3.3667.

Mwalimu Salumu Kimbende ambaye ni Mkuu Shule ya Sekondari Barikiwa na ni Mwalimu wa Somo la Bailojia amepongezwa kwa somo lake kufanya vizuri kwa ufaulu wa GPA=2.9524 Mwaka 2022,GPA=3.0370 Mwaka 2023 na GPA=3.2581 Mwaka 2024.

Katika Sherehe hizo Shule mbali mbali ,Walimu na Wanafunzi waliofanya vizuri katika Mitihani na Pimaji za Kitaifa walipokea zawadi mbalimbali..

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO AWAMU YA PILI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 February 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA MSF May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI October 09, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI (BVR KIT) JIMBO LA LIWALE WAPATIWA MAFUNZO

    May 14, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAPOKEA TUZO YA GLASS YA ELIMU KIMKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA MWAKA 2024

    May 02, 2025
  • UFUNGWAJI YA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA.

    November 01, 2024
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA HALMASHAURI

    October 30, 2024
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.