• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

KONGAMANO LA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA LIWALE

Imewekwa:: December 9th, 2022

KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA. MGENI RASMI WA KONGAMANO HILO MKUU WA WILAYA YA LIWALE MH. JUDITH NGULI.


Kongamano limehusisha mdahalo wa wanachi kuhusu hoja mbalimbali ikiwemo mafanikio yaliopatikana wilaya ya liwale.
Mgeni rasmi mh. Judith Nguli alifungua mdahalo huo kwa kuwapa nafasi wazee maarufu wa wilaya ya liwale kuelezea historia fupi kuhusu wilaya ya liwale, kuelezea mafanikio mbalimbali yaliopatikana ndani ya miaka 61 ya uhuru.

Aidha viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wamepongeza juhudi zilizofanyika na serikali kwenye kutekeleza miradi mbalimbali ya  afya, elimu, umeme, maji na barabara. Pia wanafunzi walipongeza serikali kuweka miradi mbalimbali kwenye elimu hususani ujenzi wa madarasa. Pia wananchi waoichangia hoja zao kwenye maendeleo mbalimbali kwenye huduma za jamii, elimu na afya.


Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya liwale Mh. Mohammed Mtesa amewasisitiza vijana kuacha kukaa vijiweni na kutumia uhuru na fursa walizonazo kujikita katika shughuli mbalimbali za maendeleo na kufanya kazi kwa bidii


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 15, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 12, 2025
  • MAKALA YA MAFANIKIO YA HUDUMA ZA JAMII NA MIUNDOMBINU NDANI YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA LIWALE. December 07, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA MSF May 07, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC LINDI AKERWA NA UCHELEWESHAJI WA UJENZI DARAJA LA KIMAMBI

    October 16, 2025
  • ZAIDI YA WAGONJWA 360 WAPATIWA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI YA WILAYA YA LIWALE

    September 20, 2025
  • KIBUTUKA SEKONDARI KUTOKA LIWALE BINGWA WA BIOLOJIA KATIKA SHINDANO LA YOUNG SCIENTIST 2025

    September 19, 2025
  • WANAWAKE, VIJANA, WAZEE NA WENYE ULEMAVU KUFAIDIKA NA ASILIMIA 30 YA ZABUNI ZA SERIKALI

    September 09, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • OR - Tamisemi
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Lindi RS
  • Lindi Manispaa
  • Nachingwea
  • Ruangwa
  • Mtama
  • Kilwa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.