• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Liwale yatoa mafunzo ya NeST kwa Watumishi

Imewekwa:: September 25th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Liwale leo imetoa mafunzo ya Mfumo mpya wa manunuzi ya umma kwa njia ya mtandao NeST yaan National e procument system kwa watumishi wote ambao wanatoka katika kada ya Afya, Elimu, pamoja na Maafisa wengine ikumbukwe kuwa kuanzai octoba mosi taasisi zote za umma zitaanza kutumia mfumo huo.

 Lengo la mafunzo haya ya ni kudhibiti ununuzi wa umma unao zingatia uwazi kutokana na mahitaji mapya ya teknolojia pamoja na maelekezo ya Serikali la kuimarisha eneo la ununuzi PPRA ilianza zoezi la kusanifu mfumo huo hali inayosaidia misingi mikuu ya kimataifa ya ununuzi kuzingatiwa.

Mfumo huu wa NeST utakuwa mbadala wa mfumo unao utumika sasa hivi sasa wa TANePS unatarajiwa kutatatua changamoto za kiufundi na hivyo kukidhi mahitaji ya Serikali katila sekta ya manunuzi.

Pia faida za kutumia mfumo huu wa NeST ni kuongezeka kwa uwazi na kuondoa mwingiliano wa kibinadamu na kuongeza uwajibikaji, kuhakikisha taratibu zote za manunuzi zinaweza kufanyika ndani ya mfumo.

Hivyo basi kuanzia Octoba mosi michakato yote ya zabuni za Serikali, zabuni za umma zitafanyika kupitia mfumo wa NeST na hakuna Taasisi yoyote itakayo ruhusiwa kuchakata zabuni nje ya mfumo wa NeST na pia mfumo huo umeanza kuunganishwa na mifumo mingine ikiwemo Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni BRELA Mamlaka ya Mapato TRA.





Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale wakifatilia mafunzo ya mfumo mpya wa manunuzi ya umma NeST.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 15, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 12, 2025
  • MAKALA YA MAFANIKIO YA HUDUMA ZA JAMII NA MIUNDOMBINU NDANI YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA LIWALE. December 07, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • BODI YA KOROSHO YAKABIDHI DAWA YA KUDHIBITI UNYAUFU WA MIKOROSHO – LIWALE

    October 24, 2025
  • RC LINDI AKERWA NA UCHELEWESHAJI WA UJENZI DARAJA LA KIMAMBI

    October 16, 2025
  • ZAIDI YA WAGONJWA 360 WAPATIWA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI YA WILAYA YA LIWALE

    September 20, 2025
  • KIBUTUKA SEKONDARI KUTOKA LIWALE BINGWA WA BIOLOJIA KATIKA SHINDANO LA YOUNG SCIENTIST 2025

    September 19, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • OR - Tamisemi
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Lindi RS
  • Lindi Manispaa
  • Nachingwea
  • Ruangwa
  • Mtama
  • Kilwa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.