Mkuu wa wilaya ya liwale mhe. Goodluck mlinga ameongoza kikao cha mafunzo kwa kamati ya uhakiki wa mikopo ya wilaya ya Liwale ambayo inaongozwa na mweneyekiti katibu tawala wilaya ya liwlae ndugu Azilongwa Bohari . moja ya majukumu ya kamati hiyo kufanya tathmini ya maombi yaliowasilishwa na kutoa mapendekezo ya kutoa mikopo kwa vikundi na waombaji waliokidhi vigezo pia kupokea na kujadili taarifa ya uchambuzi wa vikundi vilivyoomba mikopo kutoa katika kamati ya huduma ya mikopo.
ya kata. Mafunzo hayo yamelenga juu ya uratibu mzima wa otoaji wa mikopo katika viundi namna ya ya kufanya tathmini kwa kila mwanachama wa vikundi ili kuzuia udanganyifu wa taarifa. Tathmini y biashara zinazofanyika kwenye vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemevu
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.