• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Mheshimiwa Mlinga ataka usafi kufanywa kila jumamosi

Imewekwa:: September 16th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodcluk Mlinga amewataka wafanyabiashara na wananchi kufanya usafi katika maeneo yao ya biashara na kila ifikapo jumamosi ya mwisho wa mwezi kufanya usafi kwa Pamoja katika maeneo yote ya Mji.

 Akizungumza na wafanyabiashara na vikundi vya mazoezi ya kukimbia(joging) katika viwanja vya Soko la Zeini katika kuazimisha siku ya usafi Duniani ambapo kwa hapa kwetu Tanzania imeanza kuazimishwa mwaka 2022, ambapo kwa mwaka huu yamelenga kuhamasisha taasisi mbalimbali kuungana na Jamii kushiriki maazimisho haya kwa kufanya usafi katika Mazingira yetu ya Liwale

Aidha Mheshimiwa asema kuwa kila mtu anapaswa kuhakikisha eneo lake linakuwa safi mara zote huku akitakiwa kuwa na kiwekea taka ili kuepusha uchafu kusambaa lakini pia siku ya jumamosi kwa umoja wetu tunatakiwa kuungana kufanya usafi na maduka yote yanapaswa kufunguliwa saa nne asubuhi baada ya kufanya usafi ili kuweka mazingira yetu kuwa safi.

‘’Ndugu zangu kama nilivyotambulisha mwanzo leo ni siku ya usafi Duniani na Tanzania tumeanza kuazimisha mwaka 2022 siku hii hukutanisha taasisi zote za kiserikali na binafsi pamoja na wananchi lengo la maazimisho haya nchini yamepangwa kufanyika katika Halmashauri ili kutekeleza shughuli zifuatazo kwanza viongozi na wananchi kushiriki shughuli za usafi katika Mazingira’’

‘’ Sambamba na hayo  ni kutoa Elimu ya udhibiti wa taka kupitia mikutano ya hadhara na kutathimini kiwango cha taka zilizopo na kuchukua hatua hili ndilo nisema mwanzo hali ya usafi ni mbaya sana lakini pia kila jumamosi ya mwisho tufanye usafi kwani maadhimisho haya yanataka taasisi mbalimbali,  viongozi na jamii kwa ujumla kushiriki usafi kama ilivyo ainishwa hapo juu ivyo jumamosi ya mwisho ya mwezi tutajipanga kwa makundi na tutakuwa na orodha ili kila kundi lifanye usafi’’.


Baadhi ya wananchi na Mkuu wa wilaya  Mhe. Goodluck Mlinga walio jitokeza kufanya usafi siku ya usafi duniani wilaya ya Liwale

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO AWAMU YA PILI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 February 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA MSF May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI October 09, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAPOKEA TUZO YA GLASS YA ELIMU KIMKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA MWAKA 2024

    May 02, 2025
  • UFUNGWAJI YA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA.

    November 01, 2024
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA HALMASHAURI

    October 30, 2024
  • UKAGUZI WA UTEKELEZAJI WA KUTENGWA, KUPIMWA NA KUMILIKISHA WAFUGAJI MAENEO RASMI KWAAJILI YA ZOEZI LA UFUGAJI KATIKA KATA YA KIMAMBI.

    October 25, 2024
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.