• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Mlinga Awapa Nasaha Wahitimu Darasa la Saba

Imewekwa:: September 12th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga ametembelea na kukagua Shule za Msingi Wilaya ya Liwale ambazo zinajiaanda na mtihani wa kuhitimu Elimu ya Msingi ambapo jumla ya shule 65 za msingi, zitafanya mitihani hiyo huku idadi ya wanafunzi ikiwa ni jumla 2216, wavulana 1029 na wasichana 1187.

Mheshimiwa Mlinga amewapongeza walimu na wanafunzi kwa maandalizi mazuri ya mtihani wa kumaliza darasa la saba na kuwatia moyo “kuwa hapo ndio mwanzo wa safari yao ya maisha na elimu hivyo amewasisitiza wanafunzi kufanya vizuri katika mitihani yao ili waweze kufaulu na kuendelea na masomo ya elimu ya sekondari , kwani kusoma ndio ambako kutawakomboa na sio vinginevyo” pia Mkuu wa Wilaya amewapa kalamu moja moja wanafunzi wote katika Wilaya ya Liwale.

Aidha Mkuu wa Wilaya ametoa rai kwa wazazi wote kuhakikisha wanawasimamia watoto wao katika kuhakikisha wanapata elimu na kudhibiti utoro mashuleni na wazazi ambao watakikuka taratibu basi sheria itachukuliwa dhidi yao.


Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga akikagua Shule za Msingi ambazo zinajiandaa na mitihani ya kuhitimu Elimu ya msingi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE March 06, 2023
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA October 23, 2022
  • MASHINDANO YA KOMBE LA SENSA 2022 June 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Awafunda Watumishi Liwale

    September 29, 2023
  • DC Mlinga Azindua Chanjo ya Kichaa cha Mbwa

    September 26, 2023
  • Liwale yatoa mafunzo ya NeST kwa Watumishi

    September 25, 2023
  • Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Mlinga atoa Pole Kijiji cha Makata

    September 22, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.