Diwani wa Kata ya Liwale B, Mheshimiwa Mohamed Mtesa amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Uchaguzi huo umefanyika leo, Alhamisi, Disemba 4, 2025, katika mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani uliofanyika Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Kutwa, Liwale (Liwale Day).
Katibu Tawala wa Wilaya ya Liwale, Bi. Azilongwa Bohari, ambaye alikuwa mwenyekiti wa mkutano huo, amesema Mtesa alipata kura 22 za “ndio” na 5 za “hapana” kati ya jumla ya kura 27 zilizopigwa, akishinda kwa asilimia 81.48 ya kura zote.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.