Imewekwa:: October 12th, 2023
Kamatia ya Fedha na Mipango ya Halimashauri ya Wilaya ya Liwale imekutana nakutembelea miradi inayotekelezwa katika Halmashauri ikiwemo mradi wa nyumba ya walimu two in one katika Shule y...
Imewekwa:: October 7th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga amezindua kituo cha afya cha Ngongowele ambao ujenzi wake umegharimu jumla ya shilingi milioni 263,700,000 ambayo fedha kutoka Serikali kuu ni jumla...
Imewekwa:: October 7th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga ametembelea na kukagua mradi wa maji wa Hangai unao lenga kutoa huduma katika vijiji vya Ngongowele, Mikuyu, na Ngunja mradi huo ni muendelezo wa wa...