Jina: Mohamed Rashid Mtesa
Tarehe ya Kuzaliwa: 30/12/1978
Mahali: Liwale
Uraia: Mtanzania
Jinsi: Me
Hali ya Ndoa: Ameoa na ana watoto watano
Elimu: Elimu ya Msingi 1988 – 1994
Elimu ya Sekondari 1995 – 1996 (Kidato I – II) Liwale Sekondari
Uzoefu: 1999 – 2002 Mjumbe wa Bodi ya Chama cha Msingi MINALI
2004 – 2008 Makamu Mwenyekiti Nanjegeja Shule ya Msingi
2004 – 2010 Mwezeshaji Jamii katika Shirika la ActionAID Liwale
2008 – 2010 Mwenyekiti wa Kamati ya Shule Nanjegeja Shule ya Msingi
2010 – Hadi sasa Mheshimiwa Diwani Kata ya Liwale “B”
2015 – Hadi sasa Mwenyekiti wa Halmashauri
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.