MAJUKUMU YA KITENGO CHA HUDUMA ZA SHERIA
Kutoa ushauri wa kisheria kwa Halmashauri na kuiwakilisha Halmashauri katika Mashauri mbalimbali mahakamani
Kuandaa mikataba na kuishauiri Halmashauri katika masuala ya Mikataba na kuandaa Sheria ndogo za Halmashauri
Kupitisha na kuwasilisha kwa Mkurugenzi mapendekezo ya sheria ndogo za vijiji
Kuelimisha umma kuhusu sheria ndogo za Halmashauri na sheria kwa ujumla
Kuratibu uendeshaji wa Mabaraza ya kata , Kutayarisha na kuandaa semina ziinazohusu masuala ya kisheria
Kuwakilisha kitengo cha Sheria kwenye vikao na mikutano mbalimbali
Kufanya utafiti wa sheria, Kuwasilisha na kushauriana na Mwanasheria wa Serikali
Kuchunguza na kutoa mapendekezo ya Marekebisho ya sheria ndogo
Kusimamia uandishi wa nyaraka mbalimbali za kisheria
Kutunza kumbukumbu ya kesi zilizoko Mahakani na kuhudhuria mahakamani kuiwakilisha Halmashauri katika Kesi mbalimbali
Kuandaa mikataba na Kuandaa sheria ndogo za Halmashauri
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.