Wakuu wa idara na vitengo, Walimu wakuu, Wakuu wa shule, Watendaji Kata, Waratibu elimu kata na waganga wafawidhi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Liwale leo Juni 11, 2025 wamepatiwa mafunzo ya Upimaji wa Utendaji Kazi wa watumishi Kielektroniki (PEPMIS) yaliyolenga kukumbushana ujazaji wa majukumu ya watumishi kwenye mfumo huo. Mafunzo hayo yametolewa na Wakufunzi wa PEPMIS kitaifa Ndugu Mutani Manyama na Bi Shomi Jonas.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.