MAJUKUMU YA KITENGO CHA UCHAGUZI
Kutoa taarifa za uchaguzi na nafasi wazi kwa Mkurugenzi mtendaji kwa hatua za utekelezaji.
Kusimamia uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya miaka mitano au inapotokea uchaguzi mdogo.
Kutoa bajeti na kutoa taarifa za matumizi ya fedha kila baada ya uchaguzi kufanyika.
Kufanya shughuli nyingine za uchaguzi atakazoagizwa na mkurugenzi Mtendaji.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.