KOMBE LA SENSA
Mkuu wa wilaya anawakaribisha wananchi wote wa Wilaya ya Liwale kushiriki katika mashindano ya kombe la sensa yatakayofanyika kuanzia tarehe 03/08/2022 hadi tarehe 21/08/2022. Mashindano haya yatafanyika katika tarafa tatu (3) ambazo ni Kibutuka, Makata na Liwale Mjini. Washindi watapa zawadi zifuatazo:
1. Mshindi wa kwanza atapata Tshs 1,000,000/= na Ng'ombe mmoja (1)
2. Mshindi wa pili (2) atapata Tshs 700,000/- na Mbuzi mmoja (1)
3. Mshindi wa tatu (3) atapata Tshs 500,000/=, kuku mmoja (1) na Mpira mmoja (1)
"Shime wananchi wa Liwale mnaombwa kushiriki katika mashindano haya"
Karibuni wote na ahsanteni
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.