MAJUKUMU YA KITENGO CHA MANUNUZI NA UGAVI:
Kuhakikisha sheria ya manunuzi inafuatwa na kutekelezwa.
Kuratibu manunuzi yote yanayofanyika katika Halmashauri.
Kuandaa mpango wa manunuzi wa Halmashauri wa kila mwaka.
Kuweka usawa na uwazi kwa wadau wote kushiriki katika zabuni.
Kuandaa matangazo ya zabuni.
Kukagua na kuandaa mahitaji (Specification) kwa kushirikiana na Idara inayohusika.
Kutunza nyaraka za mikataba mbalimbali zinazohusu manunuzi.
Kuratibu shughuli zote za Bodi ya zabuni.
Kuweka/Kutunza kumbukumbu za utekelezaji za mikataba (Contract Register).
Kuandaa taarifa mbalimbali zinazohusu manunuzi
BOFYA HAPA KUPATA TAARIFA YA KITENGO KWA ROBO YA PILI 2016/2017.pdf
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.