IDARA YA MIUNDO MBINU
Kuandaa hati za mlaipo ya kazi mbalimbali baada ya kuona ubora unaokidhi viwango
Kuchambua zabuni za kazi mbalimbali, kuhudhuria vikao mbalimbali vya kazi
Kusimamia kazi za ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja pamoja na makalvati
Kusimamia kazi za ujenzi na matengenezo ya majengo ya Serikali Wilayani
Kufanya makisio ya kazi mbalimbali za barabara na majengo
Kufanya tathmini ya awali ya miradi ya umeme na majengo, kuandaa makadirio ya kazi za umeme na majengo
Kufanya kazi za ukaguzi wa miradi ya umeme na majengo, kuandaa hati za malipo ya umeme, majengo na umeme wa jua
Kufanya matengenezo ya umeme katika Ofisi ya Halmashauri na nyumba za Serikali
Fundi wa kitengo cha magari na mitambo, Kukagua magari na mitambo kabla haijaenda matengenezoni
Kuandika matatizo ya kila gari kwenye form maalum namba TMIS/TO/9 ili yapelekwe matengenezoni
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.