MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU SEKONDARI
Kufuatilia na kutathimini maendeleo ya Elimu ya Sekondari
Kuiwakilisha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi katika ngazi zote kuhusu masuala ya Elimu Sekondar.i
Kusimamia maendeleo ya Taaluma na Michezo ya Shule za Sekondari
Kuratibu, Kukusanya na Kuchambua takwimu za Elimu ya Sekondari katika Halmashauri
Kufafanua na kusimamia utekeleszaji wa sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Sheria na kanuni zinazoongoza.
Kusimamia haki na maslahiya Walimu na Watumishi wengine wa ngazi ya Elimu ya Sekondari.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.