FURSA ZA UTALII NA UWEKEZAJI ZILIZOPO KWENYE HIFADHI YA WANYAMAPORI YA JUMUIYA MAGINGO (LIWALE WMA) WILAYA YA LIWALE.
Fursa za utalii na uwekezaji zilizopo kwenye hifadhi ya wanyamapori ya Jumuiya ya Magingo. Fursa hizo za utalii na uwekezaji ni;
na kitalu kimoja ni cha uwindaji wa wenyeji (Namawe). Shughuli za uwindaji wa kitalii zinafanyika kwenye vitalu viwili ambayo vina wawekezaji (kitalu cha Hokororo na Kitalu cha Nachengo).
AINA YA UWEKEZAJI
|
ENEO
|
UKUMBWA WA ENEO
|
MAELEZO
|
UTALII
|
Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Magingo
|
Kilomita za mraba 4,267
|
Kuna eneo la hifadhi ya wanyama pori la Jumuiya ya Magingo lenye vitalu 3 vya uwindaji wa kitalii, ambavyo ni Nachengo, Hokororo na Naimba. Aidha hifadhi ina kitalu 1 cha uwindaji wa kienyeji na kitalu 1 cha Upigaji wa Picha wa kitalii kiitwacho Kihulumila. Kufanya shughuli katika eneo hili inahitaji kufanya mawasiliano na Jumuiya ya Magingo.
|
UTALII
|
Pori la Akiba Salous
|
Kilomita za mraba 28,586
|
Eneo hili lina vitalu vya Uwindaji wa kitalii na Upigaji wa picha wa kitalii. Uwekezaji katika eneo hili ni wa Hoteli za Kitalii na vyuo vya mafunzo ya Utalii.
|
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.