Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale Bi. Tina A. Sekambo, amekanusha uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ukionesha kuwa imetoa zabuni (Tender) kwa ajili ya Ujenzi wa nyumba za Wafanyakazi (Staff houses), kuwa habari hizo ni za uongo na za UZUSHI hivyo wazabuni na wananchi mnaombwa mzipuuze.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.