• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Baraza la Halmashauri la Pitia Taarifa ya Utendaji na Uwajibikaji.

Friday 4th, July 2025
@Liwale

Baraza la Halmashauri limekutana leo katika mkutano wa kawaida wa mwaka na kujadili ajenda mbalimbali katika mkutano huo ambao ilihudhuriwa na Mwenyekiti wa Halmashauri, Makamu Mwenyekiti, Mheshimiwa Mbunge, Waheshimiwa Madiwani, Mkurugenzi Mtendaji na Wakuu wa Idara na Vitengo ambao umefanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Liwale day.

Katika mkutano huo wajumbe walipitia taarifa ya utendaji na uwajibikaji wa mwaka 2022-2023 kwa idara mbalimbali na kujiridhisha na kutoa mapendekezo sehemu zenye changamoto ziweze kufanyiwa kazi ikiwemo kuongeza wigo wa ukusanyaji wa mapato katika Halmashauri na pia kutatua changamoto zinazo wakabili wananchi.

Aidha Waheshimiwa Madiwani wameshauri Elimu itolewe kwa watendaji juu ya matumizi ya mifumo ya fedha ili watendaji waelewe na” pia wameomba mifumo ya fedha iboreshwe kwa kuondoa ukomo kwenye matumizi kwani vijiji vingi vinakusanya mapato mengi  ila kwenye matumizi ya makusanyo hayo yamekuwa na ukomo hivyo mifumo ikirekebishwa tutaweza kutumia  fedha hizo katika miradi ya maendeleo kwa wakati”.

 Pia Madiwani wamemeshauri na kupendekeza  kuwepo na mikakati juu ya kutoa  Elimu ya ukatili wa Kijinsia ili ili wananchi wapate uwelewa  juu ya ukatili aidha Diwani wa Kata ya Likongowele  Msheshimiwa Mkoyage  ameshauri kuwepo na ujenzi wa vibanda eneo la Zain ili kuiyongezea mapato ya kudumu Halmashauri ambayo itasaidia kukuza maendeleo na mapato kukua.

Aidha Baraza lilimchagua na kumpitisha Mheshimiwa Mohamed Likoko Diwani wa Kata ya Liwale mjini kuwa  Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na pia baraza lilichagua Kamati mbalimbali ikiwemo kamati ya kudhibiti Ukimwi, kamati ya Maadili, kamati ya Elimu Afya na Maji na kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO AWAMU YA PILI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 February 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA MSF May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2025
  • MAKALA YA MAFANIKIO YA HUDUMA ZA JAMII NA MIUNDOMBINU NDANI YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA LIWALE. December 07, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YATOA JUMLA YA MKOPO WA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 773,523,370.00 KWA VIKUNDI 201 VYA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

    June 08, 2025
  • HISTORIA IMEANDIKWA, HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAFANYA VIZURI KWA 100% KATIKA MIRADI ILIYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025.

    May 30, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI (BVR KIT) JIMBO LA LIWALE WAPATIWA MAFUNZO

    May 14, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAPOKEA TUZO YA GLASS YA ELIMU KIMKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA MWAKA 2024

    May 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.