Tuesday 28th, January 2025
@HOSPITALI YA LIWALE (LIWALE B)
HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI NA MADAKTARI WA MAMA SAMIA WAMEKUJA WILAYA YA LIWALE KUTOA HUDUMA MBALIMBALI ZA KIBINGWA ZIFUATAZO.
DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA WANAWAKE NA UKUNGA.
DAKTARI WA MAGONJWA YA NDANI.
DAKTARI WA WATOTO WACHANGA.
DAKTARI WA UPASUAJI AU MFUMO WA MKOJO.
DAKTARI BINGWA WA MENO NA WAUGUZI WAWILI.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.