• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Maafa Kufanya Maandalizi ya El-Nino

Wednesday 6th, December 2023
@

Na Michael Ngowi Liwale

Kufatia taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kutangaza kuwepo na mvua za E-linino baadhi ya maeneo ukiwemo baadhi ya maeneo ya Pwani ya Kaskazini Kamati ya Maafa ya Halmashauri ya Wilaya ya Liwale imekutana na kujadili ajenda mbalimbali lengo likiwa ni kukabilina na kujianda na mvua hizo katika Wilaya ya Liwale.

Katika kikao hicho kilicho ongozwa na Afisa Utumishi Ndugu kalokola Kasimbazi kwaniaba ya Mkurugenzi Mtendaji pamoja na wakuu wa idara na vitengo mbalimbali na wakuu wa taasisi za umma na binafsi wamejadili ajenda mbalimbi ambazo lengo likiwa ni kujiandaa kikamilifu kabla maafa ayajotokea.

Aidha kamati ya Maafa ya Wilaya imekubaliana kupitisha mpango wa utekelezaji wa dharura wa kukabiliana na athari za El-nino sambamba na hilo nikutambua maeneo mbalimbali ambayo yataathirika kama vile mazao, kuharibika, miundombinu ya usafiri na usafirishaji, kutokea kwa magonjwa ya mlipuko, uharibifu wa mfumo wa majitaka na maji yaliyotuhama na kutiririka katika vyanzo vya maji pamoja na uharibifu wa miundombinu ya mawasiliano.

Kwaupande mwingine Kamati imepitia mpango wa utekelezaji na kukubaliana nao na hivyo kuanza kufanyiwa kazi mara moja ikiwemo kutoa taairifa   mara kwa mara na pia kuwajulisha wananchi taarifa za mamlaka ya hali ya hewa na tahadhari za kuchukua.



Baadhi ya wajumbe walio shiriki katika kiako kazi chaa maandalizi ya na kuchukua taadhazi za mvua za E- l nino  Wilaya ya Liwale.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE March 06, 2023
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI October 09, 2023
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI October 09, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mheshimiwa Mlinga Azindua Baraza la Michezo Liwale

    December 02, 2023
  • Mheshimiwa Mlinga Mtengua Mwenyekiti wa Kijiji cha Kipelele

    December 01, 2023
  • Baraza la Biashara Wilaya ya Liwale la Jadili Fursa za Biashara na Uwekezaji

    November 24, 2023
  • Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Mlinga Afunga Mafunzo Jeshi la Akiba

    November 23, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.