• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

KIKAO CHA UFUNGUZI WA MSIMU WA UFUTA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Monday 12th, May 2025
@Ofisi za Runali

Kikao cha ufunguzi wa wa msimu wa  ufuta wilaya ya Liwale Msimu wa Mwaka 2023/2024

Mkuu wa wilaya ya Liwale Mhe. Goodlack Mlinga  leo 6/6/2023 amefungua kikao cha msimu wa ufuta pamoja na tathimini ya zao la korosho katika msimu uliopita hii ikiwa ni kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa mazao hayo, kikao hicho kiliudhuriwa na kamati ya ulinzi na usalama wilaya, maafisa ugani , watendaji , vyama vya ushirika pamoja na wadau  mbalimbali.

 Kwa mujibu wa  ripoti ya mkoa wa Lindi  wilaya ya Liwale inatarajia kukusanya jumla ya kilo 9,00,000 za ufuta katika msimu huu  unao anza sasa huku vyama vya msingi  vitashiriki  katika zoezi la ukusanyaji na uuzaji wa ufuta  ghafi  kwa msimu huu 2023  vyama vikuu vya ushirika  vitahusika katika kuratibu  na kusimamia zoezi  la mauzo  ya ufuta katika minada vyama hivyo ni chama kikuu cha ushirika cha  RUNALI kinachojumuisha AMCOS 40 katika wilaya ya Liwale.

Kwa msimu huu wa 2023 ununuzi wa ufuta na korosho utatumia mfumo utakaotumika ni wa stakabadhi ghalani  hii ni kutokana na changamoto ambazo  zimekuwa zikijitokeza hasa upatikanaji wa takwimu  sahihi za mauzo ya  zao, kutokuwepo kwa bei shindani sokoni  pamoja na ukusanyaji hafifu wa wa tozo za Halmashauri  hivyo kwa msimu huu wa mwaka 2023 mazao yatakusanywa kwenye ghala ndogo za AMCOS na baadae kusafirishwa kwenda  ghala kuu kwajili ya minada.

Aidha mkuu wa wilaya mhe. Mlinga alivitaka vyama vya msingi kuhakikisha wanalipa madeni ya wakulima kwa wakati ili kuondokana na usumbufu unao jitokeza mara kwa mara na hivyo kusababisha sheria kuchukua mkondo wake kwa wale wote ambao watabainika  kufanya ubadhirifu , pia aliwataka maafisa ugani pamoja na watendaji kuhakikisha wanatimiza wajibu wao katika kazi ili kufanikisha zoezi hili  katika msimu huu wa 2023.

Pia amepiga marufuku kwa wale wote ambao watajiusisha na mtindo wa chomachoma  katika zao la ufuta kwani kufanya hivyo ni kumuhujumu mkulima na hivyo kuviagiza vyombo vya ulinzi na usalama vya wilaya kukaa chonjo dhidi ya watakao bainika kufanya hivyo, ameendelea kutoa wito  kwa maafisa ugani pamoja na watendaji kuhakikisha  matumizi ya mizani yanafuatwa na mizani zote zishakaguliwa hivyo atakae chezea mizani basi mkono wa sharia utamfuata.

 Kwa upande mwingine  vyombo vya ulinzi na usalama vimetoa rai kwa maafisa ugani ,watendaji, pamoja na vyama vya ushirika kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa wakati na kufuata taratibu na kanuni ambazo wamekubaliana  hii itaondoa udanganyifu kufanya hivyo kutaondoa urasimu na hivyo mambo yatakwenda sawa kinyume na hapo basi vyombo hivi vitahusika ipasavyo ili kuhakikisha haki za  wakulima hazipotei wala kuliwa na watu wachache wenye nia hovu.

Aidha nao wadau  wa benki za kibiashara nao awakuwa nyuma  kwa kutoa elimu juu ya masuala ya kifedha na kuhakisha kuwa vyama ambavyo vina akaunti katika benki mbalimbali kuhakikisha wana uhisha taarifa za   akaunti zao ili iwe rahisi kwao kupata huduma  za kibenki ili kuondoa  usumbufu.

Nao wajumbe wametoa maoni yao kwa kuomba almashauri  kuhakisha wanatengeza barabara zilizopo vijijini ili kuhakikisha mazo yaafika ghalani bila tatizo hii itasaidia kuondoa usumbufu na itapunguza gharama pia wametaka kuhakikisha ushuru unakusanywa kwa uwakika kama ilivyopendekezwa kwenye ripoti ya mkoa.

 

.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO AWAMU YA PILI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 February 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA MSF May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI October 09, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAPOKEA TUZO YA GLASS YA ELIMU KIMKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA MWAKA 2024

    May 02, 2025
  • UFUNGWAJI YA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA.

    November 01, 2024
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA HALMASHAURI

    October 30, 2024
  • UKAGUZI WA UTEKELEZAJI WA KUTENGWA, KUPIMWA NA KUMILIKISHA WAFUGAJI MAENEO RASMI KWAAJILI YA ZOEZI LA UFUGAJI KATIKA KATA YA KIMAMBI.

    October 25, 2024
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.