Sunday 1st, June 2025
@HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE
HABARI PICHA: Waandikishaji Wasaidizi wa daftari la kudumu la mpiga Kura na waendesha Vifaa vya Bayometriki (BVR kit) leo Mei 14, 2025 wameapishwa kuelekea zoezi la Uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura awamu wa pili.
Katika uapisho huo Waandikishaji wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki wameapa kutokuwa wanachama wa chama cha siasa pia kutunza siri kwa watendaji wa uandikishaji na mawakala wa uandikishaji.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.