Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga ametembelea na kukagua rambo na ujenzi wa wa birika za kunyweshea mifugo maji katika Kata ya kimambi pamoja na matumizi mingine ya jamii.
Kata ya Kimambi ni miongoni mwa maeneo ya liyotengwa na Wilaya ya Liwale kuwa ni kwa ajili ya wafugaji ambapo jumla ya wafugaji 79 ambao wanatambulika na wamesajiliwa ni miongoni mwa wanufaika wa mradi huo na pia kuacha kutembea umbali mrefu kutafuta maji na kuharibu mazingira na vyanzo vya maji na hata hivyo wilaya ya liwale inakabiliwa na wingi wa mifugo na baadhi ya wafugaji kuvamia maeneo ambayo ayajatengwa kwa jili ya ufugaji na kufanya matendo ya siyo faa kwa jamii ya wakulima.
Hata hivyo mheshimiwa mlinga akuweza kupata maelezo yeyote kutoka kwa wataalamu wa mradi huo kwakuwa hakuwakuta katika eneo la ujenzi wa mradi huo.
Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga akikagua ujenzi wa birika pamoja na rambo la kunywenyea maji mifugo katika kijiji cha Kimambi.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.