JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE
Simu Na. 0737-187605 Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W),
Nukushi: 0737-187605 S.L.P 23,
Barua Pepe: ded@liwaledc.go.tz LIWALE.
.
Kumb Na. LW/DC/T.20/4/52 06.10.2023
TANGAZO
Wananchi wote mnatangaziwa kwamba Halmashauri ya Wilaya Liwale inatarajia kuuza magari 3 na pikipiki 25 kwa njia ya mnada wa hadhara utakaofanyika maeneo ya Halmashauri ya Liwale kama ifuatavyo:-
ORODHA YA MAGARI
S/N |
AINA YA GARI |
IDADI |
1 |
TOYOTA LAND CRUISER
|
02 |
2 |
NISAN S/WAGON
|
01 |
|
JUMLA YA MAGARI |
03 |
ORODHA YA PIKIPIKI
S/N
|
AINA YA PIKIPIKI |
IDADI |
1 |
YAMAHA AG 200
|
9 |
2 |
SUZUKI TF
|
1 |
3 |
YAMAHA YBR 125
|
11 |
4 |
HONDA XR 125L
|
1 |
5 |
HONDA XL
|
1 |
6 |
HONDA CG 125L
|
2 |
|
JUMLA YA PIKIPIKI
|
25 |
MASHARTI YA MNADA
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA LIWALE.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.