Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mheshimiwa Tina Sekambo, anawatangazia wananchi wote kuwa Halmashauri imetenga jumla ya Shilingi 324,336,594.84 kwa ajili ya kukopesha vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/2026 (Julai – Septemba 2025).
Vikundi vyote vinavyohitaji mikopo hiyo vinahimizwa kuwasilisha maombi yao kwa kufuata utaratibu na masharti yaliyowekwa kwenye tangazo hili.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.