Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Liwale anawatangazia waombaji wafuatao wa nafasi ya Msimamizi wa Kituo, Msimamizi Msaidizi wa Kituo na Karani Mwongozaji Wapiga Kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kufika kwenye Usaili tarehe 18/10/2025 kuanzia saa 2:00 Asubuhi kwenye vituo vifuatavyo:-
1.Tarafa ya Kibutuka, kituo ni Shule ya Sekondari Kibutuka.
2.Tarafa za Liwale Mjini na Makata, kituo ni Shule ya Sekondari ya kutwa Liwale (Liwale Day).
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE.pdf
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.