Tuesday 28th, January 2025
@UKUMBI WA HOSPITALI YA LIWALE
KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA 2024, MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WILAYA AKIWA NA MHE. MKUU WA WILAYA GOODLUCK MLINGA, KATIBU TAWALA WILAYA NDUGU AZILONGWA BOHARI PAMOJA NA VIONGOZI WA SIASA WILAYA, WAMEJADILI MAMBO MBALIMBALI KUHUSU UCHAGUZI IKIWEMO KUIMARISHA AMANI NA UTULIVU NDANI NA NJE YA WILAYA KWA KUTOSHIRIKI AU KUHAMASISHA AINA YOYOTE YA VURUGU, PIA AMEWASISISZA VIONGOZI KUFUATA TARATIBU NA MAELEKEZO YA UCHAGUZI.
AIDHA MKUU WA WILAYA MHE. GOODLUCK MLINGA AMEWASISITIZA VIONGOZI WOTE WA VYAMA VYA SIASA KUTOHAMASISHA AINA YOYOTE YA UCHOCHEZI KWANI HULETA ATHARI MBALIMBALI IKIWEM VURUGU NA UHARIBIFU WA MALI NA MAKAZI YA WANANCHI
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.