Thursday 3rd, October 2024
@LIWALE DC
Ziara maalum ya Waziri wa viwanda na biashara Mhe.Dkt Selemani Jafo (mb) tarehe 18 Septemba wilaya ya Liwale Mkoa wa Lindi, amekagua shule ya sekondari kata ya Kichonda, ameweka jiwe la msingi zahanati ya Ngororngopa, amezindua madarasa matatu ya na matundu matatu ya vyoo shule ya msingi Luiza Mlelwa. Ameweka jiwe la msingi bweni la Watoto wenye uhitaji maalum katika shule ya msingi Kambarage. Lengo ziara hiyo kuonyesha umma juu ya miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo imetekelezwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluh Hassan, ikiwemo wilaya ya Liwale kufaidika na miradi hiyo ndani ya kipindi kifupi. Pia lengo hilo linaenda sambamba na kauli mbiu ya “Rais Samia na maendeleo wasikie na waone.”
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.