Kata ya Mpigamiti
TAARIFA YA KATA KWA ROBO YA KWANZA JULAI - SEPTEMBA 2017
Diwani wa Kata ya Mpigamiti aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata ya Mpigamiti kipindi cha robo ya kwanza (Julai- Septemba, 2017). Katika Kata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya idadi ya watu, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, taarifa ya mapato na matumizi, taarifa ya maendeleo ya elimu sekondari na msingi, hali ya majanga, hali ya maendeleo ya kilimo, mifugo na uvuvi, hali ya uzalendo na utaifa, utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji, hali ya utawala bora , hali ya ulinzi na usalama, hali ya ulinzi na usalama, changamoto na namna zinavyotatuliwa
Taarifailipokelewa
Katika kujadili taarifa hiyo mjumbe mmoja alitaka kujua ni lini Halmashauri itapeleka fedha za kukamilisha ujenzi wa choo ya shule ya awali ya Mitawa.
Maelezo yalitolewa kuwa hali ya Halmashauri kifedha sio nzuri,itakapotengemaa utaangaliwa uwezekano wa kufanya hivyo.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.