Kata ya Nangando
Diwaniwa Kata ya Nangano aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata yaNangano kipindi cha robo ya kwanza (Julai- Septemba, 2017). KatikaKata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya idadi ya watu, taarifa yamapato na matumizi, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo,hali ya kilimo, mifugo na uvuvi,taarifa ya maendeleo ya elimusekondari na msingi, hali ya utawala bora , hali ya ulinzi na usalama, na changamoto zilizojitokeza.
Taarifailipokelewa na kupitishwa
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.