|
|
|
|
---|---|---|---|
![]() |
|
|
|
Mh. Mtegite Y. Mustafa
|
|
|
|
Diwani Kata ya Kibutuka
|
|
TAARIFA YA KATA KWA ROBO YA KWANZA JANUARI- MACHI 2021
|
|
Diwani wa Kata ya Kibutuka aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kataya Kibutuka kipindi cha robo ya kwanza (Januari-Machi).Katika kata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya idadi ya watu,taarifa ya mapato na matumizi , taarifa ya utekelezaji wa miradi yamaendeleo, hali ya maendeleo ya elimu, hali ya majanga, maendeleoya kilimo, mifugo na uvuvi, uzalendo na utaifa , hali ya utawalabora, hali ya ulinzi na usalama, mafanikio ,changamoto zilizojitokeza na hatua zilizochukuliwa katika kukabiliana na changamoto hizo Katika kujadili taarifa hiyo ilitolewa hoja ya kuwepo kwa kikundi cha watu wanaokusanya mazao bila kusajiliwa Maelezo yalitolewa kuwa Kikundi hicho kipo kisheria, Mwaka 2016 watu hao walikataliwa lakini walikwenda Mkoani na Afisa Ushirika akaamriwa aanze mchakato wa kuanzisha kikundi hicho na wakulima walisema wasiporuhusiwa kuuza mazao yao kwenye kikundi hicho watakwenda kuuza Nachingwea. Wajumbe walikubaliana kuwa Ofisi ya Ushirika iendelee kuchukua hatua za kisheria |
|
||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.